Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Hellenhuthut habari nyingine mm nimemuona live
1472885057545.png
 
Ingekuwa yanachoona macho ndio tabia na roho ya mtu basi wengi wangeenda peponi
 
Offcourse. Kati ya hao wenye kujiacha wazi.
Ila hawashiki namba hata ya mbali kwa wale waliobakia wenye kujisitiri na hawakuingia kwenye shindano.
 
Huyu Masongange nilishawahi ona mguu wake sio mzuri. Hauna mvungu.

Wadada wenye miguu hii wanakuwa na Mtera sana.
 
Back
Top Bottom