Masogange kufikishwa mahakamani leo?

Masogange kufikishwa mahakamani leo?

Mi nikishasikia mwanamke ni wa mwingine hamu huniisha sijui wengine mnapata wapi hamu ya kumhangaikia
 
yule labda wampe hakimu mwanamke lakini kwa mwanaume yoyote dhambi kubwa mno kuacha mtoto mzuri kama yule apate shida

Kabisa tena mwanamke atakosa hata dhamana.

Ila mwanaume hata kama sheria zipo straight lazima apate dhamana.
 
Makonda anahangaika na wanawake kibao lakini hajawahi kumpa mimba mkewe wala kusingiziwa mimba huko nje.

Ni mwaka wa 6 sasa tangu afunge ndoa lakini hana mtoto.

Hii ni laana na pigo kubwa kwako.

Jitafakari.
 
Back
Top Bottom