Masogange na Dogo janja wafumwa katika mapenzi mazito

Masogange na Dogo janja wafumwa katika mapenzi mazito

Hata kama ni mimi mzgo kama huo ukinishobokea sirembi napita nao
 
Wao knows the solution of the question on the board ??????
 
Zinapigwa Picha wakiwa kwny Picha za Poooz waki face camera huku wanalamba lamba midomo wanasema eti 'Wafumwa'
 
Acheni ujinga nyie kupiga picha ya pamoja haimaanishi ni wapenzi

Anyway ngoja niwaachie jukwaa lenu la umbea
 
Dogo kwani kesha balehe? au aache kuitwa Dogo sasa...
 
Dogo janja inasemekana anatoka na masogange baada ya picha zao kuonekana wakiwa kwenye mahaba mazito, ila dogo janja anadai ni masuala ya kazi tu


Hzi swaga za wanahojiwa wanakwepa hatua mia mara oh tulikuw location, me cmaind location gan kitandan
 
Huo mzigo unakula, unaowa, halafu unazeeka, wewe bado dogo unatafuta zigo jengine ndo raha ya kuwa na shuga mami
 
Back
Top Bottom