Masogange na Dogo janja wafumwa katika mapenzi mazito

Masogange na Dogo janja wafumwa katika mapenzi mazito

Zinapigwa Picha wakiwa kwny Picha za Poooz waki face camera huku wanalamba lamba midomo wanasema eti 'Wafumwa'


Mkuu mambo ya umbea huyawezi , we rudi jukwaa la siasa kabishane na kina Swissme
 
Hongera zake dogo huyo binti ana tako la ukweli Sana!
affe620da9f7f7a46c5b66703e82b4e6.jpg


-Nyerere-
Picha umewatoa hii
 
DOUR THING BE FAMOUS OR STAR THEN GET A BONGO CHICK OR WHAT YOU CALL A VIDEO QUEEN ...PLAY WITH HER HAVE FUN CHANGE GET ANOTHER ONE........AFTER MANY YEARS U HAVE A RECORD OF BANGING BONGO STARS......
 
Hata ww ukianza kuvishika vinoti utakula mizigo yote mjini
 
Kiukwel ghafla nimetaman ningekuw mi ndo dogo Janja.Ni baada ya kuuona huo mzigo
 
Back
Top Bottom