Masogange: Sirudi bongo hivi karibuni

Masogange: Sirudi bongo hivi karibuni

hili neno mashabiki limeisha poteza maana! sasa kila mtu ana mashabiki, nadhani wanajijua mashabiki wake taarifa watakuwa wamezipata.
 
kweli usirudi mama muuza sembe vijana wetu wapumue wafanye kazi asante kwa kubaki huko huko
 
Mimi nilisham unfollow zamani sana,kila dakika ---- linapostiwa sioni cha maana...bora hata Le Mutuz nitacheka
Mi nimekomaa tu nakwambia na ukimsema tu anakublock kwahiyo huwa siandiki naangalia tu kalio sahivi linarushwa hewani kwa hisani ya watu wa Afrika kusini ni sheeeda
 
Atarudi tu huyu,south hana soko sababu kule Watu wenye makalio na hips kama zake wapo wengi na ni Kitu cha kawaida kule.

Soko la sembe pia tz haliendi kwa sasa Kwahiyo saa hizi atakuwa msambazaji wa ndani huko SA,soon napo kutakuwa hapafai ndipo hapo atarudi tz
 
Walisema mzigo mzito mpe mnyamwezi.....kila la kheri, sie tumesurrender.
 
Hana lolote nyau tu.........kwa nchi hii wala huku Kagerankanda hatumjui sisi
 
Sasa na wewe cheusi dawa una mashabiki wa nini? Labda hao mapunda wenzio ndo mashabiki wako au malaya wenzio, we endelea kujiuza tu uko

Hahahaa haaaa
Yaaani binamu unalipenda hili neno eti 'cheusi dawa'
 
Africa imejaa rushwa ya kufa mtu, yaani huyu muuza madawa naye anatamba? Najua jk alienda kuongea na zuma ili suala liishe. Pia ajue huyu mdada ---- akirudi bongo watamuua kwani anasiri nzito za yale madawa, wamemficha huko wala siyo maisha mazuri bali yupo kifungoni.
 
Back
Top Bottom