sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Africa imejaa rushwa ya kufa mtu, yaani huyu muuza madawa naye anatamba? Najua jk alienda kuongea na zuma ili suala liishe. Pia ajue huyu mdada ---- akirudi bongo watamuua kwani anasiri nzito za yale madawa, wamemficha huko wala siyo maisha mazuri bali yupo kifungoni.
kuna raha gani na haya maisha ya kifungoni.....? bora uwe maskini lakini uwe huru.....