Masoko imara

Masoko imara

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Masoko ni nin? Masoko ni sehemu wanazouza na kununua bidhaa mbalimbali.

Tunaweza kutumia njia gani nje na hizi tulizo zizoea kila siku kuimarisha soko la watu wanao uza bidhaa mbalimbali kuanzia watu wa Mashambani ufugaji n.k

Njia tulizo zizoea kwenye kuuza bidhaa huwa ni zile zile kila siku.

Mfano watu watakwambia uza kwenye mitandao ya kijamii mfano fb, Instagram na kwingineko.

Je ni kweli soko hilo ni jepesi Kwa kila mtu mfano Kwa asie na simu asie jua kutumia simu janja.

Njia gani za kufungua soko Kwa yule mkulima kitunguu pale iringa ruaha au mkulima wa parachichi njombe n.k

Soko linatekwaje na tunawezaje kuongeza WiGo Mpana wa soko la bidhaa Kwa njia mbadala na wenye tija Kwa mkulima na mfugaji n.k

Je ww mwenye wateja wengi wa kitunguu na unazidiwa soko na wateja unawashirikishaje wakulima wasio na soko na bidhaa zinaozea ndani.

Kuna ww una soko la nje la bidhaa na unazidiwa na usambazaji bidhaa je unawashirikishaje wenzako wasio litambua soko ulilo nalo wew na wao waweza kuuza bidhaa zao n kufaidika na biashara.

Mwenye mbinu Karibu mwenye mbinu Karibu mwenye soko Pana Karibu tubadilishane mawazo.
 
Back
Top Bottom