greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu ya kujua wapi kuna fuvu la kale,dah,,
Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa shida,ila ngoja tuangalie orodha ya masoko mengine ya hisa Barani Afrika.
soucre: Nairametrics
Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa shida,ila ngoja tuangalie orodha ya masoko mengine ya hisa Barani Afrika.
10. Ghana Stock Exchange – $6.35 billion
- Lina thamani ya $6.35 billion
- Lina makampuni 31
9. Stock Exchange of Mauritius (SEM) – $7.29 billion
- Lina thamani ya $7.29 billion
- Lina makampuni 56 na mengine 42 yaliyopo Development and Enterprise Market (DEM).
8. Nairobi Securities Exchange (NSE) – $9.57 billion
Soko kongwe kabisa katika nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki lilianzishwa 1954- Lina thamani ya $9.57
- Lina makampuni 57
7. Bourse Régionale des Valeurs Mobilières (BRVM) – $12.86 billion
Lilianzishwa mwaka 1996- Linahudumia za Afrika magharibi zilizowahi kutawaliwa na Ufaransa Niger, Mali, Benin Republic, Burkina Faso, Cote D’Ivoire, Togo, Senegal, and Guinea Bissau.
- Lina thamani ya $12.8 billion
- Lina makampuni 56
6. Namibian Stock Exchange (NSX) – $41.44 billion
Lilianzishwa mwaka 1904- Lina thamani ya $41.44 billion.
- Lina jumla ya makampuni 40
5. Botswana Stock Exchange (BSE) – $43.94 billion
Lilianzishwa mwaka 1994- Lina thamani ya $43.94 billion.
- Lina makampuni 30,
- Serikali imelazimisha makampuni ya madini yote kuorodheshwa
4. Nigerian Exchange (NGX) – $49.56 billion
Lilianzishwa mwaka 1961- Lina thamani ya $49.56 billion.
- Lina makampuni 155
3. Egyptian Exchange (EGX) – $57.20 billion
Soko kongwe kuliko lote,lilianzishwa 1883- Lina thamani ya $57.20
- Lina makampuni 219
2. Casablanca Stock Exchange (MASI) – $60.23 billion
Soko la pili kwa ukubwa lipo jijini Casablanca, Morocco.- 59.63 billion.
- lina makampuni 76
1. Johannesburg Stock Exchange (JSE) – $987.24 billion
Ndiyo soko kubwa la hisa Afrika.- la 19 kwa ukubwa duniani
- lina thamani ya $987.24 billion
- Lina makampuni 354
soucre: Nairametrics