The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Naona wajasiriamali wengi tunajitahidi kufuga na kulimalakini taarifa hasa za masoko..wapi ambapo mjasiriamali apeleke mzigo wake kwa wingi haziko clear....mfano mtu kafuga kuku wake wa nyama 4000 wakiwa tayari awapeleke wapi achukue hela yake kwa uhakika? Naona kilichopo watu wanaambiana tu nenda kule au nenda kule.
Taarifa sahihi hata za wanunuzi haziko clear utasikia Bakhresa ananunua mahindi..ukifatilia kujua hupati taarifa za uhakika
au sijui Tanga fresh wananunua maziwa lakini taarifa haiko clear.
Sasa ningependa kwenye thread hii tuambiane wapi na wapi wananunua bidhaa za kilimo kwa wingi
nimewahi sikia kuna wachina wananunua ufuta ...kwa wingi but siji hao wachina unawatafutia wapi
Mara sijui maembe Azam wananunua....ili mradi hakuna anaejua for sure sasa mwenye taarifa za wanunuzi wa bidhaa kwa jumla kwa wingi hasa za kulimo na ugugaji na adress za wanunuzi....tu share humu basi.....