Masoko ya dagaa chakula cha kuku

Masoko ya dagaa chakula cha kuku

mhula

New Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
4
Reaction score
5
Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii

Asanteni sana
 
Bei kwa kilo unauzaje?
Kwa mwezi/wiki unaweza kuwa na mzigo kiasi gani?
Mtu akiingia mkatataba na wewe wa mwaka mzima uwe unapeleka kila mwezi utaweza?
Uko tayari kupeleka mzigo kwa 'credit'?
 
Samahani mkuu sijakuelewa kuhusu kupeleka Kwa credit nifafanulie kidogo hapo alafu pia kuhusu kuuza Kwa kilo sijajua huko mkoa gani na ni bei gani inatembea huko mzigo hunapatikana mwingi ninachokitafuta nikupata soko la huakika tu mkuu wangu
 
  • Usiangalie bei ya wengine, unatakiwa uwe na bei yako.
  • Kupata masoko ni rahisi sana, ndio maana nimekuuliza hayo maswali na unatakiwa ujibu; tofauti na hapo utakuwa hauko makini kwenye hii biashara au ndio unaianza.
  • Usitegemee mnunuzi mkubwa atakulipa fedha taslimu kwa wakati mmoja, bali mtaingia makubaliano, na wewe utajiunga kwenye mnyororo wa uzalishaji wa bidhaa zake kwa makubaliano maalumu ya kimaandishi; ndivyo makampuni au taasisi kubwa zinavyofanya kazi.
 
umenifungua macho maana hata mm nataka kufanya biashara ya viazi ila sijajua pa kuanzia mkuu
 
Kama una mzigo mkubwa na unataka iwe kazi yako; unatakiwa uifanyie utaratibu wa nyaraka ili wateja unaowalenga wajue uko makini na unachokifanya; sio leo mzigo upo, kesho unakuwa hauna.
 
Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingne zenye uhitaji wa bidhaa hii

Asanteni sana
Mkuu nahitaji niachie namba yako Niko Dar
 
Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii

Asanteni sac

Chakuku saidia to masoko meng meng yapo dsm
 
Ukihiyaji msaada weka full data yani
No ya simu
Mahali ulipo
Bei ya hiko kitu
Kwa uwekaji huu itakusaidia kurahisisha unacho kifanya ama kutangaza watu wakufuate

Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii

Asanteni sana
Lll
 
Back
Top Bottom