Masoko ya hisa Marekani yaporomoka kwa kasi, karibu $2 trillion zapotea ndani ya siku moja. Ona alichofanya mkongwe Warren Buffet

Masoko ya hisa Marekani yaporomoka kwa kasi, karibu $2 trillion zapotea ndani ya siku moja. Ona alichofanya mkongwe Warren Buffet

Federal reserve ni private institution, usidanganywe na neno federal. Covid-19 package was one hell of a scam and the biggest wealth transfer in history. Hiyo stimulus package haikuwa kwaajili ya kusaidia maskini.
Exactly .
The creature from jeckryl island ni biggest scam of all time .
Kuna Cartel iliamua kutengeneza hii federal reserve , kiufupi ni enslavement , hao wahuni waliotengeneza Federal reserve ndio waliotengeneza IMF ,WB na BIS .
 
Ndio vizuri USA apitie economic recession ili aachane na kuingilia mataifa mengine, apambanie uchumi wake.

Kinachompa kiburi USA ni uchumi imara, sasa anguko la uchumi litamfanya nae atulizane ndani kama wenzake. Hapo ndipo nguvu ya mataifa kama China na Russia itajuoikana.
 
Indicators zinaonyesha probability kubwa uchumi wa dunia kupitia mdororo so wawekezaji wa masoko ya hisa wanarespond kwa kuuza hisa zao na thamani ya hisa za makampuni inashuka na hili ndio anguko lenyewe linapoanzia na pia mabenki makuu mataifa mbalimbali kama Marekani ,Japan nk ,yalipandisha Riba za mikopo ili kupambana na mfumuko wa bei katika uchumi wa nchi zao so mikopo inakuwa ghali sana na hii inafanya mitaji ya wawekezaji inakimbilia kununua treasury bills na bonds za benki kuu hasa Marekani na si kuwekeza katika uzalishaji kupitia hisa za makampuni kwa sababu return ya treasury bonds inakuwa kubwa benki kuu zinapopandisha riba na mitaji inakuwa haba so makampuni yana struggle kupata mitaji ya kuendesha shughuli zao na kujitanua zaidi so uchumi unasinyaa

Pia kuna fear ya mlipuko wa vita kubwa kule Taiwan ,Middle east na Europe ,so kuna uncertainty nyingi , wawekezaji wanahofia na wanaamua kudegrade hisa na thamani za mitaji ukiangalia mbilinge za vita zinazoendelea kwa sasa
Kwa kifupi ni kwamba hayo yote yanasababishwa na hofu za kibinadamu ambapo hawana na kinachoenda kutokea siku za mbele
 
Sababu zilikua nini asee
Maana masoko kadhaa ya hisa yalitikiswa mpaka Asia nk
Kuna mambo mengi yaliyokuwa yakitokea chini chini, kama inflation kuongezeka, ila kilicho trigger ni vita inayonukia mashariki ya kati.

Ukiangalia hiyo list vizuri, utaona hayo makampuni ya tech yalipata pesa nyingi sana kwenye stimulus package ya covid (directly or indirectly), sasa ile pesa imeisha na inflation imeongezeka.

Pili, watu wengi wameanza kutoamini big pharma na hivyo ku trigger a domino effect ya hasara (makamuni ya media including tech giants, yanategemea sana big pharma kwa ad revenue or sponsorship). Kampuni kama Walgreens na CVS pharmacy (70% ya mapato yao ni kwenye pharmacy, filling prescriptions and giving vaccines) sasa hivi yapo hoi watu hawapigi chanjo na yapo kwenye mchakato wa kufilisika.
 
Hiyo kutoa hizo trillioni moja pia ni sababu kuu ya mfumuko wa bei na wananchi Marekani wanachukia sana hii kitu , maana inapoongeza money supply kwenye uchumi bila kuongeza uzalishaji lazima usababishe mfumuko mkali wa bei mfano kipindi cha covid ,uchumi umefungwa makampuni hayafanyi watu hawaongizi kipato na uchumi uzalishaji hamna halafu mnatapanya pesa tu ,na hii ndio sababu ya mfumuko wa bei kwa vitu kama chakula , rent nk
Wananchi wengi wanaumia mpaka sasa kule kutokana na hii issue .
Na ni failure hii , hapo Powell na wenzake walifail na hili dude Ndio linawasumbua mpaka sasa maana walilazimika kupandisha riba ili kupambana na mfumuko huo wa bei katika uchumi kwa kutapanya kwao pesa wakati wa covid kipindi uchumi hauzalishi .
Na kupandisha riba kuna sababisha maumivu makali katika uchumi kama hivyo unavyoona
Sahihi kabisa
Money circulating in the system,price goes higher
 
Kuna mambo mengi yaliyokuwa yakitokea chini chini, kama inflation kuongezeka, ila kilicho trigger ni vita inayonukia mashariki ya kati.

Ukiangalia hiyo list vizuri, utaona hayo makampuni ya tech yalipata pesa nyingi sana kwenye stimulus package ya covid (directly or indirectly), sasa ile pesa imeisha na inflation imeongezeka.

Pili, watu wengi wameanza kutoamini big pharma na hivyo ku trigger a domino effect ya hasara (makamuni ya media including tech giants, yanategemea sana big pharma kwa ad revenue or sponsorship). Kampuni kama Walgreens na CVS pharmacy (70% ya mapato yao ni kwenye pharmacy, filling prescriptions and giving vaccines) sasa hivi yapo hoi watu hawapigi chanjo na yapo kwenye mchakato wa kufilisika.
Shukrani MKUU kwa darasa huru lenye kueleweka
Hali ikiwa hivi dunia inaweza kukumbwa na mdororo wa kiuchumi kama wa mwaka 2008?
 
Kati ya watu ambao hawajawahi niangusha ni Jerome Powel. Jamaa ni kichwa sana na ana uzoefu mzuri. Mambo mengine Marekani wanafanikiwa sababu institutions ziko independent kama hiyo Fed. hata Rais hawezi ikoromea inaishia kama haipo chini ya serikali. Imagine Jerome kwenye COVID-19 alikuwa single handedly issuing a stimulus package alafu hela yenyewe ni dola trilioni moja uko.

Sio kama bongo Rais anatoa ndege ya ATCL iwabebe Yanga na wala hiyo ratiba haikuwepo.
Ndo maana ya kuwa independent. Wamejenga intitutions kwa miaka mingi mno. Huwa kuna sera za democrats sizikubali ila wanaheshimu uhuru wa vyombo mbalimbali. Republican wanasera nzuri za fedha ila wanaingilia mifumo ili ifanye kazi wanavyotaka wao kwa wakati huo wa mahitaji yake. Hii kitu kaianzisha Trump na populism yake. Powel anatakiwa kufanya kazi lakini anyhow atakavofanya lazima lawama kubwa zitoke Republican. Akikata interest mwezi wa tisa kama alivyokwisha kuindicate lazima Trump ataongea tu. Na hataongea kumpongeza. Democrats pamoja na madhaifu yao lakini hawa mtukani Powel kwa kutokutaka interest mwezi huu. Ndo tofauti ya vyama viwili.
 
Kuna mambo mengi yaliyokuwa yakitokea chini chini, kama inflation kuongezeka, ila kilicho trigger ni vita inayonukia mashariki ya kati.

Ukiangalia hiyo list vizuri, utaona hayo makampuni ya tech yalipata pesa nyingi sana kwenye stimulus package ya covid (directly or indirectly), sasa ile pesa imeisha na inflation imeongezeka.

Pili, watu wengi wameanza kutoamini big pharma na hivyo ku trigger a domino effect ya hasara (makamuni ya media including tech giants, yanategemea sana big pharma kwa ad revenue or sponsorship). Kampuni kama Walgreens na CVS pharmacy (70% ya mapato yao ni kwenye pharmacy, filling prescriptions and giving vaccines) sasa hivi yapo hoi watu hawapigi chanjo na yapo kwenye mchakato wa kufilisika.
Sema health service za Marekani zipo so screwed. Haiwezekani gharama za dawa ni aghali vile wakati research nyingi zinafanyikia kwenye vyuo vya umma ambavyo tayari serikali inatoa ruzuku za kutosha au kwenye taasisi zenye mrengo wa umma kama National Institute of Allergy and infection diseases. Ni uzandiki mkubwa kwa bei za hospitali na dawa zinavyouzwa. Sema ni 10 US Trillion dollar industry hivyo kuivunja ni kazi kubwa mno.
 
Ndio vizuri USA apitie economic recession ili aachane na kuingilia mataifa mengine, apambanie uchumi wake.

Kinachompa kiburi USA ni uchumi imara, sasa anguko la uchumi litamfanya nae atulizane ndani kama wenzake. Hapo ndipo nguvu ya mataifa kama China na Russia itajuoikana.
Labda amri itoke juu peke yake. VInginevyo mnajidanganya mno kwamba Marekani itashuka kisa propaganda aisee.
 
Sema health service za Marekani zipo so screwed. Haiwezekani gharama za dawa ni aghali vile wakati research nyingi zinafanyikia kwenye vyuo vya umma ambavyo tayari serikali inatoa ruzuku za kutosha au kwenye taasisi zenye mrengo wa umma kama National Institute of Allergy and infection diseases. Ni uzandiki mkubwa kwa bei za hospitali na dawa zinavyouzwa. Sema ni 10 US Trillion dollar industry hivyo kuivunja ni kazi kubwa mno.
Mfumo mzima wa afya umeoza, ni just a big money grabbing scheme, wanaharibu afya za watoto tangu wanapozaliwa ili kutengeneza wateja wa maisha kwa dawa zao.

Hizo allergies zote wanazopata watoto zinatokana na compromised immune system, kuanzia pale wanapochomwa Hep B, wakizaliwa.

Big phama ndio wanao fund curricullum kwenye medical schools, ili mwanafunzi ajue ku diagnose symptoms tuu bila kujifunza jinsi ya kutafuta kiini cha tatizo. Wao ndiyo wanaamua studies zipi ziwe published kwenye scientific journals na zile zinazo kwenda kinyume na narative yao huondolewa. Pia ni wao ndiyo wanao control proffesional licensing agencies kama academy of pediatrics ili ku strong arm specialists, kufanya vile watakavyo la sivyo hupoteza credentials zao.
 
Back
Top Bottom