Masoko ya hisa Marekani yaporomoka kwa kasi, karibu $2 trillion zapotea ndani ya siku moja. Ona alichofanya mkongwe Warren Buffet

Federal reserve ni private institution, usidanganywe na neno federal. Covid-19 package was one hell of a scam and the biggest wealth transfer in history. Hiyo stimulus package haikuwa kwaajili ya kusaidia maskini.
Exactly .
The creature from jeckryl island ni biggest scam of all time .
Kuna Cartel iliamua kutengeneza hii federal reserve , kiufupi ni enslavement , hao wahuni waliotengeneza Federal reserve ndio waliotengeneza IMF ,WB na BIS .
 
Ndio vizuri USA apitie economic recession ili aachane na kuingilia mataifa mengine, apambanie uchumi wake.

Kinachompa kiburi USA ni uchumi imara, sasa anguko la uchumi litamfanya nae atulizane ndani kama wenzake. Hapo ndipo nguvu ya mataifa kama China na Russia itajuoikana.
 
Kwa kifupi ni kwamba hayo yote yanasababishwa na hofu za kibinadamu ambapo hawana na kinachoenda kutokea siku za mbele
 
Sababu zilikua nini asee
Maana masoko kadhaa ya hisa yalitikiswa mpaka Asia nk
Kuna mambo mengi yaliyokuwa yakitokea chini chini, kama inflation kuongezeka, ila kilicho trigger ni vita inayonukia mashariki ya kati.

Ukiangalia hiyo list vizuri, utaona hayo makampuni ya tech yalipata pesa nyingi sana kwenye stimulus package ya covid (directly or indirectly), sasa ile pesa imeisha na inflation imeongezeka.

Pili, watu wengi wameanza kutoamini big pharma na hivyo ku trigger a domino effect ya hasara (makamuni ya media including tech giants, yanategemea sana big pharma kwa ad revenue or sponsorship). Kampuni kama Walgreens na CVS pharmacy (70% ya mapato yao ni kwenye pharmacy, filling prescriptions and giving vaccines) sasa hivi yapo hoi watu hawapigi chanjo na yapo kwenye mchakato wa kufilisika.
 
Sahihi kabisa
Money circulating in the system,price goes higher
 
Shukrani MKUU kwa darasa huru lenye kueleweka
Hali ikiwa hivi dunia inaweza kukumbwa na mdororo wa kiuchumi kama wa mwaka 2008?
 
Ndo maana ya kuwa independent. Wamejenga intitutions kwa miaka mingi mno. Huwa kuna sera za democrats sizikubali ila wanaheshimu uhuru wa vyombo mbalimbali. Republican wanasera nzuri za fedha ila wanaingilia mifumo ili ifanye kazi wanavyotaka wao kwa wakati huo wa mahitaji yake. Hii kitu kaianzisha Trump na populism yake. Powel anatakiwa kufanya kazi lakini anyhow atakavofanya lazima lawama kubwa zitoke Republican. Akikata interest mwezi wa tisa kama alivyokwisha kuindicate lazima Trump ataongea tu. Na hataongea kumpongeza. Democrats pamoja na madhaifu yao lakini hawa mtukani Powel kwa kutokutaka interest mwezi huu. Ndo tofauti ya vyama viwili.
 
Sema health service za Marekani zipo so screwed. Haiwezekani gharama za dawa ni aghali vile wakati research nyingi zinafanyikia kwenye vyuo vya umma ambavyo tayari serikali inatoa ruzuku za kutosha au kwenye taasisi zenye mrengo wa umma kama National Institute of Allergy and infection diseases. Ni uzandiki mkubwa kwa bei za hospitali na dawa zinavyouzwa. Sema ni 10 US Trillion dollar industry hivyo kuivunja ni kazi kubwa mno.
 
Labda amri itoke juu peke yake. VInginevyo mnajidanganya mno kwamba Marekani itashuka kisa propaganda aisee.
 
Mfumo mzima wa afya umeoza, ni just a big money grabbing scheme, wanaharibu afya za watoto tangu wanapozaliwa ili kutengeneza wateja wa maisha kwa dawa zao.

Hizo allergies zote wanazopata watoto zinatokana na compromised immune system, kuanzia pale wanapochomwa Hep B, wakizaliwa.

Big phama ndio wanao fund curricullum kwenye medical schools, ili mwanafunzi ajue ku diagnose symptoms tuu bila kujifunza jinsi ya kutafuta kiini cha tatizo. Wao ndiyo wanaamua studies zipi ziwe published kwenye scientific journals na zile zinazo kwenda kinyume na narative yao huondolewa. Pia ni wao ndiyo wanao control proffesional licensing agencies kama academy of pediatrics ili ku strong arm specialists, kufanya vile watakavyo la sivyo hupoteza credentials zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…