mwenye huu uzi inaonekana unapenda sana mteremko hao walioanzisha hayo masomo matatu sio wajinga nahc ww ni kilaza think big usipend urahisi wa mambo
kweli kabisa.je akifaulu math na chemistry?,je akifaulu math na physics na kufeli bios utaenda udaktar@bora uwe na matatu yanakupa flexibility.kijana mambo mengne fikili kwanza ndo uandike topic
Unadhani sijafikiria,kwa hali hii leo tanzania inaweza kutoa PHD Holder wa miaka kati ya 17 na 21 ???Haiwezekani,hakuna sababu ya msingi kwa masomo matatu katika utalaamu,hata mtu anaenda kusoma diploma kutokea olevel wanaangalia masomo mawili tu.
mfumo wa elimu yetu ya tanzania unatambua masomo matatu kwa kila combination.
mfumo wa kujiunga chuo kikuu unataka ufaulu wa masomo mawili tu.
Vitivo vyuo vikuu vinataka masomo mawili tu.
KWA NINI MWANAFUNZI ABEBESHWE MZIGO WA SOMO LA TATU???
hata kama lina umhimu wake lakini bado sijashawishika.
Mfano:
1.PCB,physics ni ya kazi gani mpaka mwanafunzi wa PCB alazimike kusoma physics yote,natambua kuwa kuna application ya physics kwa mwanafunzi anaesoma udakitari na fani zingine za kitabibu LAKINI INGEPASWA mwanafunzi wa PCB asome CB+basic applied physics kwa matumizi ya lazima tu.
2.PCM ilipaswa iwe PM+basic applied chemistry.
HUWEZI KUNISHAWISHI kuwa chemistry ya mtu anaetaka kuwa dakitari(PCB-physics haihitajiki sana) eti ifanane na chemistry ya mtu anaetaka kuwa injinia-with exclusion of engineering from BIOLOGY and CHEMISTRY(PCM-chemistry haihitajiki sana)
mifano inatosha.
Pia physics ya PCB= physics ya PCM.
MASOMO MAWILI YANATOSHA na kasomo kadogo ka tatu kwa matumizi madogo.
Wewe umekuja na huku!!! Jamani hili akili zake si nzuri, wenzako wanatoa thread za maana watu wajadili we unatoa pumba!!!? Msibishane nalo kama mnabisha angalieni thread yake ya mambo ya heslb
HOJA YANGU NI KUSOMA MASOMO MAWILI NA MOJA BASIC,huyo wa nuclear physics si atasoma masomo mawili advance ya PHYSICS NA CHEMISTRY,na kitu kingine unatakiwa kujua stake holders ndio wanapanga nini tusome kwa hiyo wanaweza wakakaa na kutuambia tusome nini na si kila fani ya nje hata kama haina matumizi hapa tuisomesikubalian na wewe maana ukiangalia katika PCM sio kila mtu anataka awe engineer mwingine ataenda kusomea Nuclear Physics hii inahitaji sana physics na pia kemia na maths hapo haitakiwi kukosekana. so bado yana umuhimu
nimeshakwambia utasoma masomo mawili lakini la tatu lazima liwe basic ili ku-meet mahitaji ya hayo masomo mawili na mimi sikusema kuwa usisome kabisaPhysics ni msingi wa natural science. Unaweza kuwa na Physics bila Biology, lakini huwezi kuwa na Biology bila Physics,
Unaweza kuwa na Physics bila Chemistry, lakini huwezi kuwa na Chemistry bila Physics.
Huwezi kujenga nyumba juu kwa juu bila ya kuanza na msingi. Hence kuelewa Physics ni muhimu sana kwa mtu anayetaka kuelewa sayansi.
Kwenye udaktari kwenyewe kuna Physiology, ambayo ni Physics ya organisms. Sasa utaendaje kumfundisha daktari anatomy jinsi mifupa ya mwili ilivyokaa na ligaments zinavyofanya kazi kabla ya kumfundisha the corrosive effects of friction in Physics?
yan watz ni waoga sana wamabadiliko kila kitu nikuiga tu. umefka wakati nasisi tufanye yetu kutokana na hali halis tulonayo. Huu mfumo wa elm ni mbovu lzma tuurekebshe huwez kumfndsha masomo yabiashara wkt ndoto zake nikuwa daktari.mtoto na aandaliwe kuwa mtaalam wa fani fulani toka mwnzoni na sio kumbebesha masomo kbao na ndo mana hata wataalam wetu wanalongolongo nyingi
Jibu hoja ya msingi.
Ulitaka nikuorodheshee fucults zote za PCB na PCM?Baada ungeuliza na kombi zingine,hoja yangu ilikuwa ili uende chuo unaihitaji masomo mawili tu.SOMA TENA UJIBU HOJA YA MSINGI.na usijibu out of point.
nimeshakwambia utasoma masomo mawili lakini la tatu lazima liwe basic ili ku-meet mahitaji ya hayo masomo mawili na mimi sikusema kuwa usisome kabisa
ndugu ya sio kweli kuwa wazungu wanaopt masomo tangu mapema mfano uingerza italy ufaransa wao advance ni masomo 3 ugeruman austria uholanzi wao advance ni masomo 5
ukiwa advance basic subject ni BAM na GS TU,MENGINE NDO MANA YANAITWA PURE japo si yote yanatumia neno pure ila waweza kuyaita pricipal subjects,HAYO HAYO MASOMO YANAYOITWA PRINCIPAL SUBJECTS YATAITWA AMA YATAJULIKANA KAMA BASIC SUBJECT KWA MWANAFUNZI ANAESOMA UNIVERSITY KWA SABABU YANASIMAMA KAMA MSINGI WA KUMWEZESHA MWANAFUNZI KUFIKIA HIYO LEVEL YA JUU,kwa hiyo usichanganye hapo mana mimi nazungumzia advanceWhat is basic and what is not? Who decides? By what criteria?
Kuna watu watakwambia pretty much yote unayojifunza A Level ni basic, kama unataka kufuata nyayo za kina Dr. Gell-Mann huko.
Na yanakupa msingi wa kuamua baadaye unapoenda chuoni uwe na wigo mkubwa wa kuamua kuwa daktari, mfamasia au injinia kwa mfano ukisoma PCB/M.
Utasema nini?
Kwa nini unataka kuwapunguzia wigo watu wakati wengi hata hawajafikia kuamua wanataka kusomea "major" gani bado?
(HUWEZI KUNISHAWISHI kuwa chemistry ya mtu anaetaka kuwa dakitari(PCB-physics haihitajiki sana) eti ifanane na chemistry ya mtu anaetaka kuwa injinia-with exclusion of engineering from BIOLOGY and CHEMISTRY(PCM-chemistry haihitajiki sana).HAPO KWENYE RED HUKUONA kutoka kwenye thread?natambua hizo fani,rejea kwenye mada mana umesoma nusunusu ukakimbilia kujibu kitu ulichokuwa hujaelewa kwa sababu ya uzembe wa kusoma,KWANZA TAMBUA HII NI HOJA YANGU BINAFISI AMBAYO NI YA MSINGI KABISA,kuhusu hizo fani haziwezi kushindwa kutengenezewa utaratibu,kwa sababu hoja yangu kuu ni kwamba advance watu wasome masomo mawili mawili,kwani inashindikana kusema anaetaka kuchukua CHEMISTRY NA PHYSICS NA ACHUKUE na ikajulikana kuwa vitivo unavyoweza kuchukua kwa haya masomo ni pamoja na chemical engineering,petroleum engineering nk?KIFUPI INAWEZEKANA,pia niliposema chemistry haina mana nilispecify ni kwa fani ipi ya engineering katika kujaribu kujenga hoja na sikumaanisha kila engineering na ndio maana kuonyesha kuwa nilikuwa makini kuliko wewe unaekimbilia kubisha ama kujibu ukiwa umesoma nusunu NILISEMA WITH EXCLUSION OF ENGINEERING FROM BIOLOGY mfano GENETIC ENGINEERING nk na fom CHEMISTRY ambapo mfano wa engineering from chemistry ndio kama hiyo uliyoitaja ya chemical engineering na nyingine nyingi na si lazima nizitaje zote.MASOMO MAWILI TU NA NDIO YAKUPELEKE CHUO,Hoja yako ni finyu, imeangalia baadhi ya fani unazozijua tu. Ngoja nikupanue kidogo katika fani tofauti za vyuo vikuu.
1. Vipi juu ya fani hizi za Uhandisi (Engineering)- 1.Chemical engineering 2. Petrol eng. Unaweza kuzitaja kibao. Hazihitaji Chemistry. Ama sijakuelewa uliposema INJINIA ulimaanisha nini? Ndio maana nikaanza kwa kusema mtazamo wako ni finyu, kwa sababu nia ni kumpa mwanafunzi nafasi kubwa ya kuchagua kama ulivyodokezewa na aliyesema neno "Flexibility" Unaweza kuwa mwalimu wa Fizikia na Kemia au fizikia na hesabu.
Ila kama ulishadhamiria kuwa Daktari, wewe Kemia ishiti, ila uhakikishe una angalau c katika kemia na baiolojia. Udaktari hutaukosa. Ila Ksiku ya Mtihani Kemia au Baiolojia ikikaa vibaya jua umejifungia bahati, maana ukipata D ktk baioloji na kemia una point 4, hupati chuo chochote cha udaktari.
basic APPLIED SUBJECT katika elimu ya adance ni kama ilivyo BAM ya PCB,CBA,CBG nk ambayo haifanani pure maths ya PCM,EGM,CBM,PGM nk,MSOMO YASIYO BASIC NI PRINCIPAL SUBJECTS ambayo ndo yanatengeneza mjumuiko wa hayo masomo ya katika combination,anaeamua iweje ni serikali kama walivyoamua sasa kwa kuanzisha combination mpya kama hiyo ya CBM na zingine kama tatu,What is basic and what is not? Who decides? By what criteria?
Kuna watu watakwambia pretty much yote unayojifunza A Level ni basic, kama unataka kufuata nyayo za kina Dr. Gell-Mann huko.
Na yanakupa msingi wa kuamua baadaye unapoenda chuoni uwe na wigo mkubwa wa kuamua kuwa daktari, mfamasia au injinia kwa mfano ukisoma PCB/M.
Utasema nini?
Kwa nini unataka kuwapunguzia wigo watu wakati wengi hata hawajafikia kuamua wanataka kusomea "major" gani bado?
ukiwa advance basic subject ni BAM na GS TU,MENGINE NDO MANA YANAITWA PURE japo si yote yanatumia neno pure ila waweza kuyaita pricipal subjects,HAYO HAYO MASOMO YANAYOITWA PRINCIPAL SUBJECTS YATAITWA AMA YATAJULIKANA KAMA BASIC SUBJECT KWA MWANAFUNZI ANAESOMA UNIVERSITY KWA SABABU YANASIMAMA KAMA MSINGI WA KUMWEZESHA MWANAFUNZI KUFIKIA HIYO LEVEL YA JUU,kwa hiyo usichanganye hapo mana mimi nazungumzia advance