CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Hoja yako ni nzuri pamoja na kuwa ulipaswa kuanza mbali sana manake tatizo lipo kutokea level ya chini kabisa ya elimu yetu.
Kifupi ni kwamba mfumo wetu ungetengenezwa kwa kila mwanafunzi kujispecialize mapema kutoka akiwa level ya chini. Kama mtu anapenda udaktari, ualimu, uhandisi n.k angetengenezwa kutokea huko chini. Mimi binafsi sielewi sababu za msingi za kumbebesha mwanafunzi masomo kumi na mwishowe kuja kutumia only two katika maisha yake.