masomo waliyofanya vibaya matokeo ya form 6

Venant Ben

Senior Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
155
Reaction score
10
kwa taarifa tu,wadau wanasema mwaka huu masomo ya physics,english,mathematics ndio yaliofelisha zaid yakifuatiwa na accounts!na pia kwa wale wa geography katika paper 1 kama umejibu maswali ya salinity in the ocean,soil conservation na graciation bac umekwenda na maji,coz karibia 90% nchi nzima wamejibu hayo maswali,wanaamini ni dalili ya paper kuvuja na kama swali la glaciation hukuchora imekula kwako!last matokeo yanaweza yakatoka kwa mfumo wa no kama yale ya 4m4!

n.b:ni tetesi!
 
kwa hyo kwa hao wa geo waliofanya hayo maswal wame mark kwa kufata vgezo gan.?
 
TCU wanasema darasa la saba anaweza soma chuo kikuu!
 
msiwe na wasiwasi vijana, tutatumia vyeti vya darasa la saba kujiunga chuo!
 
hapana mbona naskia mwaka huu watu wamevunja sana acha uongo bhana
 
Nasikia tetesi st.joseph cathedral ndio ya kwanza tanzania kwa matokeo mazuri
 
Hamna somo la englisha a level mkuu,kuna kitu kinaitwa L1,L2
 
Nasikia tetesi st.joseph cathedral ndio ya kwanza tanzania kwa matokeo mazuri

Nchi ya tetesi. Mishahara tetesi, tume ya Pinda tetesi, grade za F5 tetesi. Hao ndio dotcom bwana hawataki kuumiza kichwa kusubiri mpaka tarehe 2 Mei matokeo yatakapotangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…