Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

acha kuvnga unajua sana ambacho hujaelewa hapo nn?
Kumbe upo macho....hahahaaaa...nilikua sijui...hapo nilijaribu kumrekebisha orthografia ..akumbuke kuandika vizuri...au nimefanya vibaya kumkosoa...?
 
Matokeo Uwez Yabashil Ww Kijana Izo Ttez Vambastic Na Ata Watu Wa Art Awakufaulu Sana Kana Unavyodai N Uongo
 
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo ya sanaa waongoza kwa kufaulu....!! Wanafunzi waliofanya mtihani huo wanatakiwa kuwa na subira tu.
Mbna hakuna kitu au bado ijumaa haijafika?
 
Back
Top Bottom