daniel danya
Member
- Aug 21, 2014
- 71
- 2
Kwa anaye fahamu masonya secondari ipo wapi mkoa na kama kuna mtu ana mawasiliano au au nae ndugu ake kachaguliwa huko plzzzz tarfa yoyote kuhusu masonya secondary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mkoa wa Ruvuma wilaya ya Tunduru ndani ya pori la selou, ni shule ya wanawake, kwa kidato cha tano ndo inaanza ina combination moja tu HGK, nilienda mwezi wa 7 kumpeleka mdogo wangu alichaguliwa uko, iko porin sana ni km 18 from Tunduru mjini