Masonya Sekondari

Masonya Sekondari

daniel danya

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
71
Reaction score
2
Kwa anaye fahamu masonya secondari ipo wapi mkoa na kama kuna mtu ana mawasiliano au au nae ndugu ake kachaguliwa huko plzzzz tarfa yoyote kuhusu masonya secondary
 
Ipo mkoa wa Ruvuma wilaya ya Tunduru ndani ya pori la selou, ni shule ya wanawake, kwa kidato cha tano ndo inaanza ina combination moja tu HGK, nilienda mwezi wa 7 kumpeleka mdogo wangu alichaguliwa uko, iko porin sana ni km 18 from Tunduru mjini
 
Nashukuru sanaa dg kachaguliwa huko awamu ya pili sa cjajua itakuwaje kupata join instruction
 
Back
Top Bottom