Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Sikuwahi msikia huyo mwanamziki. Anyway R.I.P hero
Alijihusisha na mziki wakati yuko sec mpaka chuo ila baada ya kuajiriwa na Kukamisheni hakujihusisha tena na mziki maana maadili ya kazi hayaruhusu.
Rest in peace mkuu, daima tutakukumbuka kwa ushirikiano wako katika maafa, majanga na hali mbaya na katika kudumisha amani Afrika.
 
f2970f9f0f072b884b82d7f97a6c2630.jpg
huyu ni yule alikuwa anafanya mazoezi ya mazimisho ya uhuru bomu likamlipukia apumzike kwa amani ni pigo sana na maumivu makali aliyopitia kabla ya kifo chake akika duniani tunapita tu
Kwa wasio mfahamu vizuri komando Lt. Kabipe ni yule aliyeongoza washuka kwa miavuli toka kwenye ndege katika sherehe za uhuru pale uwanja a taifa kama sijakosea 2013/14.
"Uliilinda nchi zidi ya adui wote na hii ndio nguzo kubwa katika utumishi wako. Rest in peace baba..."
 
Aliulizwa hilo swali kwenye mahojiano akalijibu vizuri sana kwamba jeshi linaenda kisasa na wasanii wanahitajika hata jeshini kuhamasisha mambo.

May all beings attain enlightenment.
Wanhitajika lakini si kwaajili ya kufanya bongo fleva. Kuna idara ya sanaa jeshini na wasanii wapo kwa shuguri zote zihusianazo na jeshi
 
f2970f9f0f072b884b82d7f97a6c2630.jpg
huyu ni yule alikuwa anafanya mazoezi ya mazimisho ya uhuru bomu likamlipukia apumzike kwa amani ni pigo sana na maumivu makali aliyopitia kabla ya kifo chake akika duniani tunapita tu
Mmmh! Huo ni uso? R.I.P komandoo
 
Back
Top Bottom