Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
"Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini
ziko ajira hatuzitaki wenyewe."
"Ukiambiwa kuna ajira hoteli ya mtoto wako wa kike eh ya waiters tunasema oh
hoteli kuna vinywaji hoteli sijui anavalishwa kimin skiketi hatuzitaki wenyewe."
"Anasema mtoto wangu wa kike m sitaki wenyewe tunazik kataa... tunasema huko huo sisi wazanzibari hatupewi jamani ajira zipo na zinapatikanwa lakini
baadhi ya ajira na sisi wenyewe tunazichagua."
Soma Pia:
"Wako watu wanasema kwamba
mimi mtoto wangu wa kike kwa kazi ya hoskari ya kuvaa combati ahah kabisa... utasema mtoto wangu wa kike kakaa ndani lakini kumbe fursa kwenda wanaoweza kufanya watoto wa kike wanapata combat wanavaa wanafanya kazi na maisha yanaendelea."