Masoud djuma ..na kiatu kisichomtosha..

Okwi ni mfungaji bora wa msimu uliopita, ndiye bora kwa sasa Tanzania
Haha wewe jamaa akili zako fupi sana..
lile kinikia Léo limekuwa bora tanzania y'a wapi hiyo ??
 
Huwezi kusikia migogoro kwa sababu wamezoeza akili zao kupishana mitazamo. Mgogoro unakuja pale ambapo mtu hataki mawazo kinzani.
Uwiiii Daah.. Léo nimekutana na chizi mitandaoni kwa mara ya kwanza !!
yaani lazima klabu iwe na sera moja tu ili kufanikisha kinachotakiwa.. sasa huyu masoud Unaambiwa kocha mkuu anasema yake.. yeye anawaambia wachezaji vingine..
Wabongo bhanaa.. 😬😬
 
Umeelewa nilichoandika, sasa kama unajiita baby boy utakuwa mzima up in your mables? Dont ever quote me if you are a baby boy.and you are screaming like a street gal.
 
Umeelewa nilichoandika, sasa kama unajiita baby boy utakuwa mzima up in your mables? Dont ever quote me if you are a baby boy.and you are screaming like a street gal.
Zingine ni typing erorr tuu lakini bado haizuii kuonesha Kuwa wewe ni popoma lililotukuka unaongea kama mtoto mdogo !.. eti okwi sijui nini !.. badilika mzee halafu hii ni post yangu.. toa kolamu yako na wewe tuone.. kama hujaandika mavi hapa 😬😬
 
You have missed a place @ Facebook baby boy, JF is far beyond you. Again, Okwi is the prized top scorer, nobody else.
 
Kwanza ulishatoka nje ya Mada zamani tuu nikakukaushia.. eti okwi mchezaji bora kwa sasa Tanzania!...hizi I'd zinabeba mengi so watu wanajipa majina humu ya ovyo ila ukiwakuta hauwezi kuamini!! hizi ni I'd tuu.
"mjanja kujifanya mjinga, na mjinga anajifanya mjanja!!..
 
You have missed a place @ Facebook baby boy, JF is far beyond you. Again, Okwi is the prized top scorer, nobody else.
Pole sana Bob... wadau wote wametoa maoni yaoo.. ila wewe umetoa utumbo kichwani!!.. sibishani tena na wewe.. halafu na Wewe kolamu yako iko wapi??.. 😬😬ilete hapa tuone.. ooh okwi mchezaji bora sijui!! 😬
 
Choice of an ID speaks a lot about yourself,
 
Kwa level yako, huo ni utumbo. You are a baby boy, what else can you tell me
Pole sana Bob... wadau wote wametoa maoni yaoo.. ila wewe umetoa utumbo kichwani!!.. sibishani tena na wewe.. halafu na Wewe kolamu yako iko wapi??.. [emoji51][emoji51]ilete hapa tuone.. ooh okwi mchezaji bora sijui!! [emoji51]
 
Kwa level yako, huo ni utumbo. You are a baby boy, what else can you tell me
Haha leta nondo zako na Wewe!.. ndo tuamini Kuwa wewe ni mwanaspoti...
utaanza ooh okwi! ...hahaha..
 
Hapa tunashindana uanaspoti, sio jukwaa la kubadilishana mawazo na kujifunza. Au kusudi la JF limekupita kando baby boy.
Haha unakwepa mishale... so me nimeandika nini hapo??? kubali tuu we sio mwanaspoti!.. huwezi kupungukiwa kitu
 
Haha unakwepa mishale... so me nimeandika nini hapo??? kubali tuu we sio mwanaspoti!.. huwezi kupungukiwa kitu
Back to the topic, kwa mtazamo wangu Masoud alikuwa mhimili wa ubingwa wa Simba kwa mwaka jana. Baada tu ya kutoka Omog na yule mganda, Masoud akaanza kuipa Simba matokeo mazuri sana, kwa maana ya magoli mengi na clean sheets. Hii inatokana na mfumo wake wa kuwatumia full backs 2 na 3 kushambulia.
Simba ikawa na matokeo mazuri sana nyumbani na ugenini, hata walipomleta mfaransa hakubadili mfumo. Simba wakachukua ubingwa kabla ya ligi kwisha.
Hayo ni matokeo yanayoweza kuifanya timu yoyote inayojitambua kustick na huyo kocha. Nadhani baada ya mfaransa kuondoka wangempa Masoud ukocha mkuu na Matola akamsaidia. Hiyo ilikuwa combination ya makocha wazuri.sana hata kwenye mechi za kimataifa.
Kocha tuliyenae sasa ni mzuri isipokuwa anafundisha 'pedestrian football', au pia waingereza wanaita 'continental football', ikiwa ni aina ya mpira wa taratibu na pasi nyingi ambao unaochezwa kwenye nchi zingine za ulaya ukiacha uingereza ambao wao wanacheza mpira wa nguvu na wa kukimbiza, 'rugby type of football'
Ubaya wa style hii ya Patrick ni kuwa unawapa wapinzani mwanya wa kujipanga kutokana na pasi kuwa nyingi na za taratibu. Ndio maana binafsi naiona Simba mwaka huu ikicheza 'sexy' football lakini matokeo yanakuwa sare au ushindi mwembamba.Na hii inanipa wasiwasi ikiwa tutaweza kweli kutetea ubingwa kwa mfumo huu. Masoud.hakutakiwa kuondolewa Simba, ipo siku utakumbuka maneno yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…