Na mtakomaje, maana huyu mandevu so chochote si lolote. Lets wait and see, Time will tell.Huyu jamaa wacha aondoke anakoroga sana klabu na ni mbinafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mtakomaje, maana huyu mandevu so chochote si lolote. Lets wait and see, Time will tell.Huyu jamaa wacha aondoke anakoroga sana klabu na ni mbinafsi
Haha wewe jamaa akili zako fupi sana..Okwi ni mfungaji bora wa msimu uliopita, ndiye bora kwa sasa Tanzania
Uwiiii Daah.. Léo nimekutana na chizi mitandaoni kwa mara ya kwanza !!Huwezi kusikia migogoro kwa sababu wamezoeza akili zao kupishana mitazamo. Mgogoro unakuja pale ambapo mtu hataki mawazo kinzani.
Umeelewa nilichoandika, sasa kama unajiita baby boy utakuwa mzima up in your mables? Dont ever quote me if you are a baby boy.and you are screaming like a street gal.Uwiiii Daah.. Léo nimekutana n'a chizi mitandaoni kwa mara y'a kwanza !!
yaani lazima klabu iwe n'a sera moja tu ili kufanikisha kinachotakiwa.. sasa huyu masoud Unaambiwa kocha mkuu anasema yake.. yeye anawaambia wachezaji vingine..
Wabongo bhanaa.. [emoji51][emoji51]
Zingine ni typing erorr tuu lakini bado haizuii kuonesha Kuwa wewe ni popoma lililotukuka unaongea kama mtoto mdogo !.. eti okwi sijui nini !.. badilika mzee halafu hii ni post yangu.. toa kolamu yako na wewe tuone.. kama hujaandika mavi hapa 😬😬Umeelewa nilichoandika, sasa kama unajiita baby boy utakuwa mzima up in your mables? Dont ever quote me if you are a baby boy.and you are screaming like a street gal.
Zingine ni typing erorr tuu lakini bado haizuii kuonesha Kuwa wewe ni popoma lililotukuka unaongea kama mtoto mdogo !.. eti okwi sijui nini !.. badilika mzee halafu hii ni post yangu.. toa kolamu yako na wewe tuone.. kama hujaandika mavi hapa [emoji51][emoji51]
Pole sana Bob... wadau wote wametoa maoni yaoo.. ila wewe umetoa utumbo kichwani!!.. sibishani tena na wewe.. halafu na Wewe kolamu yako iko wapi??.. 😬😬ilete hapa tuone.. ooh okwi mchezaji bora sijui!! 😬You have missed a place @ Facebook baby boy, JF is far beyond you. Again, Okwi is the prized top scorer, nobody else.
Ni uamuzi sahihi. Ndio maana inaitwa Young Africans.Hela wanayo ya kubadilisha makocha. Nyinyi komaeni na wakongo nadhani baada ya mwaka mmoja Club itabadilishwa jina na kuwa Sebene band
Kwanza ulishatoka nje ya Mada zamani tuu nikakukaushia.. eti okwi mchezaji bora kwa sasa Tanzania!...hizi I'd zinabeba mengi so watu wanajipa majina humu ya ovyo ila ukiwakuta hauwezi kuamini!! hizi ni I'd tuu.
"mjanja kujifanya mjinga, na mjinga anajifanya mjanja!!..
Pole sana Bob... wadau wote wametoa maoni yaoo.. ila wewe umetoa utumbo kichwani!!.. sibishani tena na wewe.. halafu na Wewe kolamu yako iko wapi??.. [emoji51][emoji51]ilete hapa tuone.. ooh okwi mchezaji bora sijui!! [emoji51]
Haha leta nondo zako na Wewe!.. ndo tuamini Kuwa wewe ni mwanaspoti...Kwa level yako, huo ni utumbo. You are a baby boy, what else can you tell me
Hapa tunashindana uanaspoti, sio jukwaa la kubadilishana mawazo na kujifunza. Au kusudi la JF limekupita kando baby boy.Haha leta nondo zako na Wewe!.. ndo tuamini Kuwa wewe ni mwanaspoti...
utaanza ooh okwi! ...hahaha..
Haha unakwepa mishale... so me nimeandika nini hapo??? kubali tuu we sio mwanaspoti!.. huwezi kupungukiwa kituHapa tunashindana uanaspoti, sio jukwaa la kubadilishana mawazo na kujifunza. Au kusudi la JF limekupita kando baby boy.
Back to the topic, kwa mtazamo wangu Masoud alikuwa mhimili wa ubingwa wa Simba kwa mwaka jana. Baada tu ya kutoka Omog na yule mganda, Masoud akaanza kuipa Simba matokeo mazuri sana, kwa maana ya magoli mengi na clean sheets. Hii inatokana na mfumo wake wa kuwatumia full backs 2 na 3 kushambulia.Haha unakwepa mishale... so me nimeandika nini hapo??? kubali tuu we sio mwanaspoti!.. huwezi kupungukiwa kitu