BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Taarifa zimeenea kuwa kocha msaidizi hatakiwi na kapigwa chini.
Mbumbu fc ktk ubora wao[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mbumbu fc ktk ubora wao[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itasaidia nini kuepusha Kindoki asipigwe goli nne tarehe 30?Taarifa zimeenea kuwa kocha msaidizi hatakiwi na kapigwa chini.
Mbumbu fc ktk ubora wao[emoji12] [emoji12] [emoji12]
washabiki wapuuzi nyie,yaani kuchemsha mechi moja mnafikiri ni kila siku?....Itasaidia nini kuepusha Kindoki asipigwe goli nne tarehe 30?
Huyo hana tofauti na mashabiki wa CCM wanaoona aibu kushangilia ushindi wa kishindo walioupata Ukonga na Monduli.washabiki wapuuzi nyie,yaani kuchemsha mechi moja mnafikiri ni kila siku?....
Unajua maana ya mbumbu?Taarifa zimeenea kuwa kocha msaidizi hatakiwi na kapigwa chini.
Mbumbu fc ktk ubora wao[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaha.. Mkuu mbona umezipunguza.. Huyu tunamgonga zaidi ya 6.Itasaidia nini kuepusha Kindoki asipigwe goli nne tarehe 30?
kwa timu yenu ya mababuHahahaha.. Mkuu mbona umezipunguza.. Huyu tunamgonga zaidi ya 6.
Mkuu hivi... Ngasa, Tambwe, Kamusoko, Gadiel, Yondani hawa tunawaweka kundi la vijana au mababu?kwa timu yenu ya mababu
Kagere ana miaka 46. okwi 45Mkuu hivi... Ngasa, Tambwe, Kamusoko, Gadiel, Yondani hawa tunawaweka kundi la vijana au mababu?
Lakini wanafanya makubwa zaidi ya watoto mlionao.Kagere ana miaka 46. okwi 45
Hahahaha mkuu muache tuuuLakini wanafanya makubwa zaidi ya watoto mlionao.
Hahaha.. Sawa Mkuu.Hahahaha mkuu muache tuuu
Kundi la SLOW SLOWMkuu hivi... Ngasa, Tambwe, Kamusoko, Gadiel, Yondani hawa tunawaweka kundi la vijana au mababu?
Mtajua Leo mtakapo kalia 2Itasaidia nini kuepusha Kindoki asipigwe goli nne tarehe 30?
Mbao ya matako vipi Leo Kirumba mkuu Sembo?Hahahaha.. Mkuu mbona umezipunguza.. Huyu tunamgonga zaidi ya 6.
Gadiel mtoe hapo mkuuMkuu hivi... Ngasa, Tambwe, Kamusoko, Gadiel, Yondani hawa tunawaweka kundi la vijana au mababu?
Gadiel ana umri gani?Mkuu hivi... Ngasa, Tambwe, Kamusoko, Gadiel, Yondani hawa tunawaweka kundi la vijana au mababu?