Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Ukiongelea masuala ya kodi unajua nchi inaitwa Brunei ?
Kafuatilie data halafu urudi
Hakuna nchi ambayo hakuna KODI kabisa. Aina za kodi zinaweza kutofautiana na kiwango pia lakini kodi lazima ipo. Brunei raia wake hawalipi income tax lakini kuna aina nyingine ya kodi ambayo wafanyabiashara wanalipa.

Acha kuishi maisha ya kukariri ndugu.
 
Masoud anawakilisha ujumbe ambao watu wengi wana hofu ya kufanya hivyo.....Huu utawala unanyanyasa raia wake pasi na sababu....... Ulevi wa madaraka.

 
Kama ni kweli, uchochezi hapo ni huko kukamatwa kwake na si vinginevyo!!!
Hapa wanataka kuwachochea wananchi.
Waseme wazi tu kuwa hivi sasa ni marufuku kuikosoa serikali.
Na hata hivyo lalamiko la kodi kubwa na mfumo mbovu wa kodi usio na uwiano ni jambo limepigiwa kelele siku nyingi..hata boss JPM mwenyewe kalia nalo sana.
 
Ukiona mchora vibonzo hasa political cartoons hana msuguano na watawala ujue huyo hachori katuni bali anachora picha.
 

Hawajui uongozi ni kitu gani!
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atakamata kila mtu huu mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…