Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Umechochewa nini mkuu mpaka unakosa subira?!Kwani fani ni lazima uchore uchochezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechochewa nini mkuu mpaka unakosa subira?!Kwani fani ni lazima uchore uchochezi
Huo mshale huo ulipoelekezwa!!!!!!!
Bora hata asingelikoment......!
Kwa hiyo serekali ni huko mshale ulikoelezwa?
Safari hii tusipokuwa makini jera zinatuita.
Ni bora angelichora bila kuweka maneno
cc. Katuni za Kingo.
Kwa nini mkuu?Hiyo kesi atashinda na atalipwa fidia, niulize kwann atashinda
Kwani uchochezi na uchonganishi ni kitu kimoja?Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
Hakuna nchi ambayo hakuna KODI kabisa. Aina za kodi zinaweza kutofautiana na kiwango pia lakini kodi lazima ipo. Brunei raia wake hawalipi income tax lakini kuna aina nyingine ya kodi ambayo wafanyabiashara wanalipa.Ukiongelea masuala ya kodi unajua nchi inaitwa Brunei ?
Kafuatilie data halafu urudi
Hakuna aliyeko salama chini ya huyu Mzalendo uchwara....tumpinge kwa nguvu zote.Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
TRA watamtembeleaAfu nimewahi sikia hyu jamaa ana mihela sana afu anamiliki ndinga kali
Utawala ulioingia kwa hovyo hufanya mambo hovyo hovyo!!Huu utawala hauna mambo ya maana ya kufanya wamekalia mambo hayo hayo ya hovyohovyo
U have very low IQHuo mshale huo ulipoelekezwa!!!!!!!
Bora hata asingelikoment......!
Kwa hiyo serekali ni huko mshale ulikoelezwa?
Safari hii tusipokuwa makini jera zinatuita.
Ni bora angelichora bila kuweka maneno
cc. Katuni za Kingo.
Hapa wanataka kuwachochea wananchi.Kama ni kweli, uchochezi hapo ni huko kukamatwa kwake na si vinginevyo!!!
Hajasema ni nchi gani, je akisema ni North Korea je Hamimu atamhukumje,Kwa nini mkuu?
Hapa wanataka kuwachochea wananchi.
Waseme wazi tu kuwa hivi sasa ni marufuku kuikosoa serikali.
Na hata hivyo lalamiko la kodi kubwa na mfumo mbovu wa kodi usio na uwiano ni jambo limepigiwa kelele siku nyingi..hata boss JPM mwenyewe kalia nalo sana.
Huko kwenu hawapo ukawaambie mwenyewWambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Kwa nini mkuu?