wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Tunakoelekea sio kuzuri,walioambiwa watubu,watubu kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosa gani? Isijekuwa kapora mke wa mtuAmekamatwa yupo Osterbay!
Toa kimoyo moyo hapa mmmmh.....!!Imebidi kutoa fundo moyoni mwenzako kaka yangu wee
Atapotezwa kama Azory tusipopaaza sauti nawambia. Roma sauti zilikuwa za juu sana, akaonekana...
Hirizi ni kama mkufu au shanga za asili mwacheni avae ni mapambo tu kama kuvaa hereniToo much, hata Idi Amin hakuwa na kasi kama ya huyu mvaa hirizi.
Wasiojuliƙana unawajua wewe au unatetea kisichojulikanaUna uhakika wasiojulikana ndo wamembeba au umecoment tuu
Aliwaambia lakini naona hawakumuelewa sasa wacha waisome numberManeno ya Lissu naona kama yanaishi•
Toa kimoyo moyo hapa mmmmh.....!!
Tanzania mpya tunafundishwa uzuzu.Kutohoji anything and everything.Idd Amini akifaa! Eeh
Mimi siwezi kuliaa eeh
Nitamtupa Kageraa eeh
Awe chakula cha mamba!
Hivi nyimbo hizi za uzalendo bado zinafundishwa hadi sasa?
Tangulia mbele tuongoze mkuuWatanzania kusikitika mitandaini haisaidi kitu, tafadhali do something.
mtatekwa mpaka lini ?????????????????
Ki vipi? FafanuaClouds nao wapuuzi tu
Mie namuona Lissu kama nabii wa pekee sana aisee kwenye nchi hii. Sjui lakin, But Mungu ananamna yakeAliwaambia lakini naona hawakumuelewa sasa wacha waisome number
Ndio - Masound Kipanya "Kp"Masoud mchora katuni au??