Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Bado wa chungaji na Mashekhe kukamatwa na kutoweka


That what comes up next...

Mkuu umeona mbali....

Uchwara ana kazi aisee...Badala ya kuleta maendeleo to silent his critics,atashangaa 2020 hii hapa hajafanya kitu...

Watashangaa saa nne asubuhi watu washaangusha tembo,watatoa macho kama Laurent Bagbo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Idd Amini akifaa! Eeh
Mimi siwezi kuliaa eeh
Nitamtupa Kageraa eeh
Awe chakula cha mamba!
Hivi nyimbo hizi za uzalendo bado zinafundishwa hadi sasa?
piga magoti we nduli we nduli, piga magoti we nduli we nduli, piga magoti we nduliiii kwa mwenyekiti wa chama!!
 
This is becoming too much; huyu mvaa hirizi kiunoni na bashite wake ni lazima adhibitiwe haraka; asifikiri kutawala nchi ni sawa na kutawala nyumba yake.
weka picha yako ndo utajuwa kama wanatawala inchi kama nyumba yao
 
Twapaswa kuiombea nchi yetu
Kila mtu kwa Imani yake
Maana tunakoelekea si pazuri
 
Reactions: Lee
angelikuwa hajiwezi kama mugabo asingekuwa nalakusema
 
yuko kijijini kwa bibi zake huko atarudi tu mjini hofu ya nini
 
Nadhani umefika wakati wa kama mmbwai na iwe mmbwai
This is too much something needs to be done sasa!
Huyu bashite alilogwa au
JWTZ upo umuhimu wa kuliamsha Jeshi la Polisi
%100 fact....
 
Wacha nijifunze mydear ila ile hadithi inajiridia rudia sana siku hizi. Naikumbuka hadi fundisho lake ... Tukionana nitakusimulia na wewe au unaijua[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ipi hiyo mkuu?
 
there is only one way, it need one man to stand, [HASHTAG]#naniatamfungapakakengere[/HASHTAG]?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…