Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Huu mjadala utafungwaje angali majibu ya alipo bado hatujapatiwa?
 
taarifa ya azam zinasema clouds wamesema wanafuatilia kama kapotea huku kuna uzi ulikuja humu kuwa kakamatwa na polisi.
 
Reactions: BAK
watu wakisema wanaonekana wanachonga. hatukuyazoea haya sisi.
 
Reactions: BAK
Tangu kini mtu mzima akapotea?yupo korokoroni huyo!
 
Habar wana Jf

Uzii huu utatumika kutoa [HASHTAG]#apdate[/HASHTAG] zinazo endelea juu ya matanzania mwenzetu, na mtangazaji CLOUDS masoud kipanya


Ambae ametuweka katika mazingira ya kutatanisha




Na ni member mwenzetu wa Jf.
 
Wengi walijiuliza walioniteka ni maaskari mkanitafuta vituo vyote sento mpaka staki shari wa kasema hawajui nilipo mama alik- wenda monchwarii daaaah yakaisari mwachie Kaisal mungu wa Paulo ndo mungu wa daud ndio mungu wa John mnaomwita mfalme wa wayahudi ebhana why hii nyimbo isiwe nyimbo bora ya Muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…