Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Huwa nawependa sana ndugu zangu waislam kwa kuwa wengi huwa wana msimamo usioyumbishwa na huwa hawaogopi. Ila naona sasa tunahitajika tuwe na nguvu ya uma
 
Kwelii hii ndo Silahaa pekeee ya sirikali kwa sasa ukitoa watu wasiojulikanaaa...!! Ukimkosoaa tuu TRA haooo wanakuchunguza ulipaji wako wa kodi.. Kuanzia jengo..viwanja..biashara zakoo Yanii utakubalii tuu mwisho wa siku Unajiunga Fisiemu kabisa... Kodi imekuwaaa silahaaaa siku hizi!
 
Acha uongo!! Mbeba mabox wewe!!
 
Ni kweli hao jamaa hawafai kabsa
 
Reactions: BAK
tunasubiria mwili wa Azori Gwanda hapa Koko beach, tumeweka kambi hii wiki ya NNE sasa
 
Si walijifanya wana urafiki na bashite..!!
Wamesahau kuwa nungu nungu hakumbatiwi..
 
Tumeelewa ni kama ya Roma ila yeye hakufungwa machozi na mikono kwa siku tatu..sauti iliyoazwa imewatisha
 
Picha IPO kipanya ni wetu ila Sirkar ya ni ya jione pumba kumwaga:Jpm
 
Anayefikiria watanzania ni waoga atatambua siku si nyingi alivyojidanganya. Hakuna jeshi wala vijana walijifunza mbinu za utesaji, ujasusi na silaha watakao ishinda nguvu ya umma na huko ndiko taifa linaposumwa na wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…