Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Ahahahaaaaa.

Manka loves it.

She rides it every night.

She’s expecting your nephew in June.

Manka baby!
You expect something nice on your wrinkly fagott ass. You need something all the time inside your...Thats what makes your itchy old ass happy. A deek
 
You expect something nice on your wrinkly fagott ass. You need something all the time inside your...Thats what makes your itchy old ass happy. A deek
Your dumbass probably believes Santa really does exist.

Cock sucker.
 
Kumbe chanzo cha hiyo fake news ni Chadema in Blood. Hakuna hata cha kushangaza hapo.
 
Hii ndio pattern ya hoja za kipuuzi ya these so called doctator uchwara sympathizers...check all the posts they keep posting this kind of crap...who doesn’t know What this is all about?..government using police force intimidation and indirect silencing tactics so that people can keep mute...!!..tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao” my as*%#*!!..Bullshit!!..
From mchochezi unaitwa msaliti usipopotezwa unanyeshewa mvua ya risasi.
Eti tuache polisi wafanye kazi zao my foot!!
 
Utamaduni wa kulipa kodi kwa hiaria Tanzania ni kama umepotea hivi. Yale mabadiliko yaliyofanywa na Msuya mwaka 1986 nadhani ndiyo yamesababisha haya yote kuonekana kama kodi ni adhabu. Hapana, kodi ni ni mkataba baina ya raia na serikali popote duniani. Serikali itajenga majeshi ya ulinzi na usalama, itajenga barabara, madaraja, na minundombinu yote ya muhimu ambayo raia wanaitumia bure, halafu raia watalipa kodi serikalini! Miundombinu ni neno pana sana lakini linajumuisha pia vitu kama elimu na afya ya msingi kwa raia pamoja na mazingira yao.
 
Waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wangekuwa wanajitambua na wana umoja wasingenyanyasika hata kidogo.
wanajitambua ssba, Ila wamebanwa kila kona. ungekuwa wao ungefanya nini katika mazingira haya?
 
Kichuguu

Msuya alifanya mabadiliko gani?
Ni Maelezo marefu kidogo, ila alitaka kuimarisha ukusanyaji wa kodi ili kuridhia amsharti ya IMF wakati huo. Hivyo akaajiri fresh graduates wengi sana wa kutoka UDSM, IDM, IFM na Nyegezi katika idara ya kodi ya mapato. Katika kufanya hivyo akakosea kutoweka taratibu za kudhibiti rushwa ndani ya idara hiyo, hivyo wale graduates alioajri wakawa ni waomba rushwa wakubwa sana ambao walikuwa wakiweza kumpandikiza mtu kodi kubwa kusudi akubali kutoa chochote. Graduate wote walioajiriwa na Msuya waligeuka kuwa matajiri sana ndani ya muda wa mwaka mmoja tu. Walipa kodi wakawa wanawaona hao maafisa wa kodi wakineemeka haraka haraka na mpaka leo hata baada ya kuanzishwa kwa TRA, nadhani ile tabia iliyojengwa na wale graduate wa Msuya wakati ule bado imeendelea kama mapokeo ndani ya vichwa vya watu watu.
 
I liked the word "AMESAIDIA" hususan it being capitalized. It means a lot! Did Masoud respond anything on the matter!? Like what exactly happened!?
 
Back
Top Bottom