Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 757
- 1,055
Ina maana umesahau kuwa yeye hashauriwi na ukishauri ndio umeharibu kabisa? Samehe lakini usiisahau!Mkuu wa kaya anayekushauri kwenye hii kamatakamata anakupotosha! Za kuambiwa changanya na zako ....