Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

huyu kipanya ni mchochezi na anatumika vibaya kwa masilahi ya tumbo lake.
tuna muonya atumie vizuri taaluma yake, asilewe misifa! akajisahau.

Acha kutisha watu mkuu,Usipomwelewa au kumwelewa tofauti tayari ni mchochezi!.
 
Kwa sisi wachezaji mahiri wa "draft" hapo mchezo utakuwa umekwisha kama ni zamu ya bibie. Lakini kama ni zamu ya mzimu basi mchezo utakuwa "draw"
 
Kikombe cha mvinyo uliokunywa wewe mm sinywi!

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
"nimepata pesa pahala"

Dah,

Angalia bei ya vifurushi Sasa hivi..
 
Hangaya akikosea kete moja tuu.... bye bye tunaenda Guinea kidogo
 
Acha kutisha watu mkuu,Usipomwelewa au kumwelewa tofauti tayari ni mchochezi!.
hatumtishi bali tunamrudisha kwenye mstari aache, maana wakati mwengine binaadamu hulewa sifa na mwishowe akapotoka.
 
Hivi misukule ina maanisha nini, nimewahi kusikia tu lakini maana halisi bado sijaipata 'I like silent language'
 
Tafsiri yangu: kuna mpambano mkali kati ya tunaowafahamu na tusiowafahamu. Tunaowafahamu wanatafakari na kutusikiliza wakati wakiendelea na mpambano huo.

Tusiowafahamu hawajali-wao wanaendelea kustarehe tena kwa vitu haramu wakiwa hawamsikilizi yeyote huku wakiendelea na mpambano.

Yatupasa kuongeza sauti na maombi kwa tunaowafahamu. Yawezekana hali si njema sirini huko na tunaowafahamu wakipoteza pambano itakuwa jau sana.
 
Bavicha na bawacha wape picha tu halafu soma comment zao ndio utajua kwanini kuwa misukule ni adhabu kubwa sana kwao [emoji23][emoji1787]
 
Akae Akae major, asitoke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…