Masoud Kipanya atunukiwa Shahada ya Heshima (Vanguard Honorary Degree for Creativity)

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima katika kutambua mchango wake kwa Jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo inatambulika kama Vanguard Honorary Degree for Creativity, Resilience and Social Impact.

View attachment 3171410

Ametunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafali ya tano ya Chuo cha usimamizi wa miradi, ufuatiliaji na uhakiki wa ubora Tanzania TIPM (Tanzania Institute of Project Management), Jijini Dar es salaam.
View attachment 3171412

Hongera sana Masoud Kipanya.
Wampe na nyingine from Samia Award kwa kuhamasisha vijana wengine wenye uthubutu na ubunifu
 
Hii sasa ndiyo maana halisi ya heshima, tena huyu altakiwa apewe mtu am take through ili apewe ile yenyewwe. Jamaa ana mchango mkubwa sana kwa jamii kuliko viongozi wengi sana.
 
Bora watunukiwe hawa hata kuna kitu anafanya na jamii inaona na kwa namna fulani inafaidika nae, sio wale madaktari uchwara wa kisiasa wenye udokta wa vibunda.
Kipindi fulani kuna msanii alipotoa wimbo wake wa Ngororo na kuanzisha mahusiano na demu wa Kiganda, UDSM nao wakajaa kwenye upepo wa watoto wa "Afu mbili", wakajiandaa kumtunukia PhD, story ilipovuja ziltoka critics hizo mitaani na mitandaoni wakalazimika kuufyata na ku withdraw.
 
Kipindi fulani kuna msanii alipotoa wimbo wake wa Ngororo na kuanzisha mahusiano na demu wa Kiganda, UDSM nao wakajaa kwenye upepo wa watoto "Afu mbili", wakajiandaa kumtunukia PhD, story ilipovuja ziltoka critics hizo mitaani na mitandaoni wakalazimika kuufyata na ku withdraw.
Ilikuwa Phd ya Rushwa😀😀
 
Back
Top Bottom