Masoud Kipanya atunukiwa Shahada ya Heshima (Vanguard Honorary Degree for Creativity)

Wampe na nyingine from Samia Award kwa kuhamasisha vijana wengine wenye uthubutu na ubunifu
 
 
Hii sasa ndiyo maana halisi ya heshima, tena huyu altakiwa apewe mtu am take through ili apewe ile yenyewwe. Jamaa ana mchango mkubwa sana kwa jamii kuliko viongozi wengi sana.
 
Bora watunukiwe hawa hata kuna kitu anafanya na jamii inaona na kwa namna fulani inafaidika nae, sio wale madaktari uchwara wa kisiasa wenye udokta wa vibunda.
Kipindi fulani kuna msanii alipotoa wimbo wake wa Ngororo na kuanzisha mahusiano na demu wa Kiganda, UDSM nao wakajaa kwenye upepo wa watoto wa "Afu mbili", wakajiandaa kumtunukia PhD, story ilipovuja ziltoka critics hizo mitaani na mitandaoni wakalazimika kuufyata na ku withdraw.
 
Ilikuwa Phd ya Rushwa😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…