Masoud Kipanya i salute you!

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Huwa ni mojawapo ya hobby zangu ishu za kubadiri muonekano wa vyombo vya moto. Jana kuipitia page ya [HASHTAG]#ttrautoupgrade[/HASHTAG] nikakutana na moja ya kazi yao kwenye gari ya masoud kipanya!, thats some cool stuff being done there!.

Jamaa wameibadiri gari toka booring to some next level look!.. Bila shaka wamekubadirishia na other things hawakuishia kwenye rangi tu!.

BEFORE


AFTER



kwa matomaso
 
Hawa jamaa ni wazuri sana kwenye exterior designing, kwenye interior designing ni wabovu sana. Kuna ndiga waliitoa nje vizuri sana, walipiga met black, halafu ndani walivyoelekezwa wakabugi.
so dicksound ndio mzuri ndani sio!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…