Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Huwa ni mojawapo ya hobby zangu ishu za kubadiri muonekano wa vyombo vya moto. Jana kuipitia page ya [HASHTAG]#ttrautoupgrade[/HASHTAG] nikakutana na moja ya kazi yao kwenye gari ya masoud kipanya!, thats some cool stuff being done there!.
Jamaa wameibadiri gari toka booring to some next level look!.. Bila shaka wamekubadirishia na other things hawakuishia kwenye rangi tu!.
kwa matomaso
Jamaa wameibadiri gari toka booring to some next level look!.. Bila shaka wamekubadirishia na other things hawakuishia kwenye rangi tu!.
BEFORE
AFTER
kwa matomaso