Masoud Kipanya i salute you!

Mkuu, hizo kitu ni sunna huku kwetu pwani.
Hizo kitu ukiwa nazo kubwa, ndio shmakoo inarejea.... tehteehhh
mkija bara mnateseka sana!..
 
Kwa Tanzani ndiye msanii mwenye gari ya bei ghali kuliko wote.

Anamiliki hummer.

Naona na Kina Mose iyobo wa hummer sasa hivi ila sijajua ni model ipi
bei ya Evoque ni mpya ni sawa na Hummer nakumbuka Jide alinunua enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…