Masoud Kipanya i salute you!

Masoud Kipanya i salute you!

Bado mkuu hujaeleweka point yako nini,jamaa kasema msanii anaemiliki gari yenye thamani kuliko wote hajasema toleo wala mwaka'
Hata ile bmw x6 ya diamond usishangae ikawa expensive kuliko hio hummer 3.
 
Hata ile bmw x6 ya diamond usishangae ikawa expensive kuliko hio hummer 3.

ile X6 ya mondi

ile X5 ya kiba

ile 200series ya mondi

zote ni expensive kuliko hiyo hummer

hummer zinakuwa adimu sababu ya runing cost kwanzia fuel consumption mpaka vipuli ni pasua kichwa
 
ile X6 ya mondi

ile X5 ya kiba

ile 200series ya mondi

zote ni expensive kuliko hiyo hummer

hummer zinakuwa adimu sababu ya runing cost kwanzia fuel consumption mpaka vipuli ni pasua kichwa
Bora uwaambie maana wabongo kwa kuogopa Hummer nawakubali saaana.
 
nawatafuta watu wente huduma ya TOW TRUCK wanisogezee vyuma vyangu hivi hapa chini nami nijidai kama bwana kipanya
%D1%81%D1%82%D0%B0%D1%80%D1%8B%D0%B9-%D1%80%D0%B6%D0%B0%D0%B2%D1%8B%D0%B9-%D0%B0%D0%B2%D1%82%D0%BE%D0%BC%D0%BE%D0%B1%D0%B8-%D1%8C-34269100.jpg

broken-car-vehicle-vintage.jpg
 
Back
Top Bottom