Masoud Kipanya kurejea rasmi Clouds FM kuanzia Jumatano (27 April 2016)

Jamal Akbar

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
413
Reaction score
471
Baada ya kuwa na sintofahamu tangu wasikike kwenye kipindi cha Power Breakfast tarehe 1 mwezi huu, habari za ndani kabisa toka Mawingu Fm zinadai Mtangazaji mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kujenga hoja Masoud wa Kipanya ataanza rasmi kusikika kwenye Kipindi cha Power Breakfast kuanzia Jumatano Asubuhi na Mapema.

Kwa uwezo alionao Kipanya, je tutegemee yapi toka kwake?
================
https://www.facebook.com/
 
Fundi wa kutangaza karejea
 
Mtangazaji wa redio wa siku nyingi., Masoud Kipanya hatimaye amerudi Clouds fm na kupangiwa kwenye kipindi cha Power breakfast, Masoud Kipanya ataanza rasmi kusikika redioni Jumatano ya wiki hii ya April 27, katika kipindi cha Power breakfast. Masoud Kipanya ameyathibitisha hayo, siku ya leo wakati akihojiwa katika kipindi cha LEO TENA cha Clouds fm.
 
Ndio maana wale waropokaji na pampula Hando na PJ waliamua kusanda mapema ili kukwepa aibu.Fundi karudi wangekosa namba tu.
 
Vipi anarudi bila ya Fina Mango ??
 
Ndio maana wale waropokaji na pampula Hando na PJ waliamua kusanda mapema ili kukwepa aibu.Fundi karudi wangekosa namba tu.
Hapo aliyeshtuka mapema ni mwenyewe KUSAGA,kaona hooh nimepwelewa sasa,si asubuhi Hando na PJ,na dinna,si mchana fetty alikua kiungo kwakwel,si jioni,Ndo kaamua arudie matapishi usifanye mchezo kuondokewa na watu wanakubalika na jamii mtihani,hapo ndo RUGE aache jeuri.
 
Karudi Clouds mazee. Nimeona kwa instagram yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…