Wale watangazaji wanapaswa wasirudi kuipa nguvu Clouds ili ione thamani ya wafanyakazi, mana dezain wanavyoacha hao staff havieleweki, NAJUA NDIO KAZI INAYOWAINGIZIA RIZKI Lakini na wao wanahitaji kuheshimiwa na sio kufukuzwa kila leo au wengine wanaacha sabab wamepuuzwa, kina dina nao waliachishwa sijui nini havieleweki, sasa wanarudi ili aendelee kuwa juu, siku akipata wengine anakupiga tena chini na kukudharau mnapaswa muwaache na wao wakose muelekeo kama walivyowafanya nyie ili waone uchungu kiodogo.