Masoud Kipanya kurejea rasmi Clouds FM kuanzia Jumatano (27 April 2016)

Tulishahama Power breakfast siku nyingi. Siku hizi tuko magic fm kina orest kawau wako vizuri mno.
mkuu unaposema 'tulishahama' unamaanisha ww na nani? au ww na familia yako, maana hiyo redio yenyewe inasikika dar tu huku namtumbo wala sijawahi kuisikia.
 
Kweli hawa mabosi wanajisahau sana
 
Ndio maana wale waropokaji na pampula Hando na PJ waliamua kusanda mapema ili kukwepa aibu.Fundi karudi wangekosa namba tu.
Usilolijua ni kama usiku wa giza tena giza neneee
 
mkuu unaposema 'tulishahama' unamaanisha ww na nani? au ww na familia yako, maana hiyo redio yenyewe inasikika dar tu huku namtumbo wala sijawahi kuisikia.
Fanya uchunguzi mkuu.
 
yap nilikua namsikia kwenye kipindi cha asubuhi sikumbuki kilikiwa kinaitwaje na kilikuwa kinapendwa sana but tangu amehama RFA hang'ai tena alianzia timesfm na sasa clouds fm, daah hata ule ucheshi aliokua nao rfa haupo tena
Kilikua ni kipind cha vodacom saa 2 ad 3 asubuhi
 
Ni zao la watu wa Mikoani.....
Dar imejaza watu wa Lindi, Mtwara Rufiji (Mbagala, Temeke, Tandika)...Kilimanjaro, Arusha (Kimara, Sinza, kibamba,Kiluvya, Mbezi), Iringa, Mbeya (Ubungo, Mabibo, Tabata, Mwenge) Mara (Ukonga, Gongo la Mboto), Mwanza, Shinyanga, Tabora (Makongo, Kigamboni....) na kadhalika
 
Masoud Kipanya kichwa ile mbaya ....labda PB ya zamani itarejea ...
 
Kwanini hawa wasianzishe redio zao hata za mbao tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…