kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,177
- 1,721
Anaishi mazingira machafu licha ya kuwa amefungwa katika kizuizi ambacho kina uzito mdogo kuliko Kenya yenyewe. Maamuzi ni yake kukaa hapo au kuamua kuondoka kwa kuwa Corona haikai sehemu moja hata akijifungia bado ipo tu.