Masoud Kipanya made my day LOL!!!

Hadi Muda Huu Itakua Kuna Watu Wanajutia Kura Yao.
 
litakuja tena kuchonga barabara 2019 au 2020. hii si nchi ya amani tukichagua upinzani amani itapotea
 
Hahahahahaha kazi ipo aseeee fisi kakaniziwa bucha
 
Chaguo lao milele..waisome namba sasa..magufuli mtu wa maguvu sio.....
 
Magufuli mbele kwa mbele,si muda mrefu ujao watakupongeza kwa kuwaondoa mabondeni kwa nguvu kwa Elnino inayokuja!
 
ccm ni ile ile ooo ni ile ile x2

Holaaaaaaah
 
Kibonzo hiki ni mfano wa siasa za nchi yetu, yaani mchoraji yeye na mimi uelewa wetu ni mmoja haswaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…