Masoud Kipanya made my day LOL!!!

Hata watu walipoambiwa chagueni Tingatinga wakadhani ni kwa ajili ya barabara zao kumbe ni kwa nyumba zao
Bt am happy yanapotokea,..........watu wapate machungu waihate CCM,,...coz haya yanafanywa wazi kuwaumiza waTZ ila yapo yanayofanywa sirini watu hawayajui
 
Hata watu walipoambiwa chagueni Tingatinga wakadhani ni kwa ajili ya barabara zao kumbe ni kwa nyumba zao
Mpwa wacha wakione wewe unachagua tingatinga unatarajia nini!
 
Masoud Kipanya endelea kuelimisha jamii mkuu!

Safi sana Kipanya...watu walizidi kujisahau. Hii yote ni kazi ya Kikwete kuwaachia watu waendelee kuishi mabondeni bila kuchukuliwa hatua na kujiona wao wana akili zaidi ya serikali wakati walishalipwa kitambo.
 
Watu walilipwa sio wote ndugu,....hata kule jangwani watu maeneo yao hawakupewa magwepande,..yale maeneo yaliuzwa na viongozi w serikali,.....na kuna sehemu watu hawajaliupwa ila wanabomolewa mfano jana walikuw segerea wametia x nyumba bila malipo kufanyika bado mabonde ya temeke watawekewa x bila wtu kulipwa,.....na pesa zilitokaga kitambo viongozi as usual wamepiga so katika documents za serikali inaonyesha watu wamelipwa ila pesa zimepgwa bro,,...so think twice bro TZ ni nje y tunanyanyasika like this,,..it hurts bro
 
Kumbe mda mwingine The devil U know is better than the Angel U dont know eeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…