Kimambo jr
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 207
- 67
hahahahahahahahhaahahaha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hihiMasoud Kipanya endelea kuelimisha jamii mkuu!
Bt am happy yanapotokea,..........watu wapate machungu waihate CCM,,...coz haya yanafanywa wazi kuwaumiza waTZ ila yapo yanayofanywa sirini watu hawayajuiHata watu walipoambiwa chagueni Tingatinga wakadhani ni kwa ajili ya barabara zao kumbe ni kwa nyumba zao
Mpwa wacha wakione wewe unachagua tingatinga unatarajia nini!Hata watu walipoambiwa chagueni Tingatinga wakadhani ni kwa ajili ya barabara zao kumbe ni kwa nyumba zao
Masoud Kipanya endelea kuelimisha jamii mkuu!
Watu walilipwa sio wote ndugu,....hata kule jangwani watu maeneo yao hawakupewa magwepande,..yale maeneo yaliuzwa na viongozi w serikali,.....na kuna sehemu watu hawajaliupwa ila wanabomolewa mfano jana walikuw segerea wametia x nyumba bila malipo kufanyika bado mabonde ya temeke watawekewa x bila wtu kulipwa,.....na pesa zilitokaga kitambo viongozi as usual wamepiga so katika documents za serikali inaonyesha watu wamelipwa ila pesa zimepgwa bro,,...so think twice bro TZ ni nje y tunanyanyasika like this,,..it hurts broSafi sana Kipanya...watu walizidi kujisahau. Hii yote ni kazi ya Kikwete kuwaachia watu waendelee kuishi mabondeni bila kuchukuliwa hatua na kujiona wao wana akili zaidi ya serikali wakati walishalipwa kitambo.
Kipanya ni mbunifu sanaKibonzo hiki ni mfano wa siasa za nchi yetu, yaani mchoraji yeye na mimi uelewa wetu ni mmoja haswaa!
Hahahahaaaaaaaaaaaaa ni kuisoma namba kwa kwenda mbeleKumbe mda mwingine The devil U know is better than the Angel U dont know eeeh!