Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wameishia kula miguu ya kuku tu mkuu.Kila mtu ale kuku wake.
'Kuwatunza 'ni nebo pana sana mkuu! Inaweza hata isuhusishe pesa za cartoons,Cartoon zake zinalipa!!
Atakuwa anaandika hata uongo ili mradi tu yeye apate wasomaji ale pesa. Yule dada yani anaweza kumzushia kitu chochote mtu na wafuasi wakaamini. Unakumbuka aliposema ray anachunguzwa kwa kumuua kanumba? Ray alipojaribu kujitetea lilikuwa kosa alimtukana kila aina ya tusi.Hii app kuna watu itawaumiza kwani inachochea cyberbullying na character assassination na Mange naye dishi lake lishayumba yy hajali.
Jamaa ana michongo mingi hapa mjini. Watu kwenye media wanaenda kupata jina ili wafanye michongo mingine. Mara alikuwa kwenye project ya nyumba ni choo, mara utamsikia yuko kwenye project hii na ile, mara china kwenye mambo ya exhibition.Cartoon zake zinalipa!!
hahahahahaBado hujaweka dada wa kazi kwa kila mke. Chakula cha jioni tu kilo mbili za mchele kwa nyumba moja
Kale la taahira tangu kaone Ile tape ya baba yake mzazi akiliwa kundubay na wahuni kalichanganyikiwa mpk leo.Atakuwa anaandika hata uongo ili mradi tu yeye apate wasomaji ale pesa. Yule dada yani anaweza kumzushia kitu chochote mtu na wafuasi wakaamini. Unakumbuka aliposema ray anachunguzwa kwa kumuua kanumba? Ray alipojaribu kujitetea lilikuwa kosa alimtukana kila aina ya tusi.
Kuna mtu namfahamu ana kisukari na ameoa wake 3 sijui Sasa hata hua anawafanya Nini.Huyo ndio mwanaume rijali
Kunasiku niliandika hvyo kwenye kurasa zake akanibloku unawachafua watu bila sababu na mijitu janaume kabsa anaenda kudowlod app seriouslyBaadhi ya wa Tanzania ni wapumbavu sana umbea umbea umbea umbea Yan watu wanalipia had app kwa Mange ili wapate umbea, sijui unafaidika nini ukishayajua maisha ya mtu
Kinachosikitisha hadi watoto wa kiume wamekuwa wakuda kinoma yani
Alfu unakuata wengine wanafanya Kaz zao siyo tabu hata kidogoHuyu kweli yuko fit, kama ana uwezo wa kuwatunza wote sioni shida...
Enzi za U- turn ya mange ulikuwepo? Kuna dada nusura ajinyonge kwa bullying aliyokuwa akifanyiwa huko kwenye blog, too bad wanaoshabikia hawajijui kama wao ni watu miserable na toxic. Wangelijua hilo wangetafuta tiba.Hii app kuna watu itawaumiza kwani inachochea cyberbullying na character assassination na Mange naye dishi lake lishayumba yy hajali.
Akishindwa 'kuwatunza', anawaacha... sio kesi!'Kuwatunza 'ni nebo pana sana mkuu! Inaweza hata isuhusishe pesa za cartoons,
Huyo mke mmoja, kasheshiba vzur hana stress unaweza usimtunze vzr kwa bed !!! , Haya fanya ndo wapo wannne , washashiba ?? Maana naamini jamaa pesa ya kuwatunza ipo.
Lazima ukae kama hujajipanga.......Bado hujaweka dada wa kazi kwa kila mke. Chakula cha jioni tu kilo mbili za mchele kwa nyumba moja
Hizi dini hizi zinazoendekeza tamaa za mwili, du!“Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa"
"Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa ila kuna mwingine akifuata dini inavyotaka inakuwa shida”
Masoud Kipanya
====
Siku za karibuni Masoud amekuwa akiandamwa na dada maarufu mtandaoni juu ya ndoa yake mpya ya mke wa nne ambayo anadai imepeleka huzuni kwa mke wake wa kwanza.
Pia, soma=> Masoud Kipanya aongeza mke wa nne
View attachment 2093665
Bwana mdogo ana miaka 50 sio?😃😃 Kweli mjini kila mtu bebi.Mke wa kwanza mama wa Malcon yeye aliachwa muda kabla hata yule malaika kuondoka.
Mwenye kulalamika pengine atakuwa bi mkubwa namba mbili
Nawaza kidogo pia, huyu bwana mdogo ni imani tu ya kufanya kuoa hivyo au ni mengine
Nakaribia kuamini yaliyosemwa wakati uliopita.
Wanaume heeee heee, oeni wanne wanne walau wote tutakaribia kupata wanaume.
Mange anachotaka ni kupata followers tu , anaweza kusakama mtu hata bila sababu yoyoteMke wa kwanza anahuzunika kuletewa mke wa nne wakati alishaletewa wawili? Kwa sababu zipi anahuzunika?
Na huwa anapata hata deals za michoro kwa hizi international org na kwavile zile huwa zinafahamu the power of talents, huwa zinalipa vizuri hasa ukizingatia Masoud sio kwamba mshamba mshamba mmoja hivi mwenye njaa ya kuchukua chochote!Jamaa ana michongo mingi hapa mjini. Watu kwenye media wanaenda kupata jina ili wafanye michongo mingine. Mara alikuwa kwenye project ya nyumba ni choo, mara utamsikia yuko kwenye project hii na ile, mara china kwenye mambo ya exhibition.