Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

Mange ni faller flan ambaye Watanzania wameintain ufaller hadi kufikia kujivunia huo ifaller...simpendi Mange kabisa
Na kwa sasa anatumia huu uzaifu kujiingizia kipato, Wanamlipa kwa Mwezi, Miezi, Mwaka ili waendelee kupata wenyewe wanaita 'ubuyu'.
 
Na kwa sasa anatumia huu uzaifu kujiingizia kipato, Wanamlipa kwa Mwezi, Miezi, Mwaka ili waendelee kupata wenyewe wanaita 'ubuyu'.
Huyu amechafua watu wengi mno, watu wakifarakana ni furaha kwake na hajali.
Mdomo wake hauna breki, anajiita dada wa taifa sijui nani kampa cheo hicho
 
Hivi Hawa islam huwa hawana justification nyingine ya kuoa wanawake wengi zaidi ya kusema Kuna watu Wana mke mmoja lakini mahawala wengi!!
Wakioa wengi,wanafata dini,wakifunga wanafata dini,lakini ukikuta wanabwia urabu na maasi mengine,hapo ukihoji,wanakuambia kwani wewe unafata sheria zote za dini
 
Mi huwa namuona kama anafanana na tumbili Mungu anisamehe bure
 

 
'Kuwatunza 'ni nebo pana sana mkuu! Inaweza hata isuhusishe pesa za cartoons,
Huyo mke mmoja, kasheshiba vzur hana stress unaweza usimtunze vzr kwa bed !!! , Haya fanya ndo wapo wannne , washashiba ?? Maana naamini jamaa pesa ya kuwatunza ipo.
Usikwambie mtu, ukiwa na wake wengi au mahawara wengi Abdallah kichwanwazi ndio anacharuka kisawasawa, kuliko kuwa na kimke kimoja mara kikuletee pozi kachoka ndio na weww anaadopt uzembe wa mwanamke.
 
Duh safi sana! Basi jamaa uchumi wake sio mchezo. Halafu mtoto mzuri kweli kachukua. Dah tufukue hela ma***ye tule vinono
Kipanya huwa achukui makwasukwasu, mke wake wa kwanza ni Nargis Mohammed alikuwa Miss Tanzania.

Nadhani unajuwa ili Miss Tanzania akubali umuowe na wewe inabidi uweje.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kipanya huwa achukui makwasukwasu, mke wake wa kwanza ni Nargis Mohammed alikuwa Miss Tanzania.

Nadhani unajuwa ili Miss Tanzania akubali umuowe na wewe inabidi uweje.πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha bwana kumbe ye ndiye aliyemuoa yule Nargis duuuh 😯😯😯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…