Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

Hadi wanafika 16 bado wote wanakutegemea tu?
 
Acha bwana kumbe ye ndiye aliyemuoa yule Nargis duuuh 😯😯😯
Ila Nargis akazinguwa Kipanya akapiga chini, watu wengi hawaelewi machungu na mateso ya mapenzi waliyopitia watu mpaka kupata dawa ya wanawake.

Asikudanganye mtu dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake, ukiweza kuwahudumia wao watakuwa bize kushindana kukupa wewe huduma, ni ngumu kumkuta mtu mwenye mke zaidi ya mmoja ana stress za mapenzi au vikao vya usuluhishi wa domestic violence.
 
Mi bora niwe na mke mmoja na michepuko 3 maana mchepuko hata ukisikia umeguswa na wana haitakuumiza kichwa koz utajua uko bize na mke sasa upo bize na mke wa nne watu wako bize na hawa wake watatu.

Ukirudi kua bize na wa pili watu wanarudi kwa huyu mpya.
 
Kweli sisi watanzania wengi wetu ni wapumbavu sana.
Huwezi lipia app ya chizi kama mange.
Maisha ya watu yanatuhusu nini sisi hadi unalipia app ya umbeya na uchonganishi?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…