Masoud Kipanya na Kile Kigari Chake, Kwa Nini Alitupiliwa Mbali?, Angalia na Soma.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!.


Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku akiwa na matangazo, sehemu mbalimbali nchini kwa bahati mbaya hakufika mbali.

Jana na leo nimekuwa nasoma na kufuatilia international media nikajifunza jambo lingine hapa...



Serikali ya kupitia taasisi ya teknolojia -DIT kinafanya uzalishaji wa bajaj za umeme na tayari kimepokea order kutoka nchi jirani ili watengenezewe.

Kupitia chuo hicho nashindwa kuelewa kwa nini Kipanya alitupiwa vilago kwa vikwazo ambavyo angeweza kurekebisha tena kupitia uwekezaji ambao angefanya kwa sharing na hao wachina.


Nawasilisha.
 
Serikali yetu inataka watu mafala. Mazezeta wasioweza kufanya chochote iwaburuze. Ukionekana kutanua fikra kidogo tu, unaitiwa OCD. Mchukue huyu. Inazimwa.
 
ushindi unapatika kwa njia tatu tu..
Unategemea nini kwa waziri kama nape.
 
Kusema kweli ile ya kipanya haikuwa gari, alichomelea mabati, yan hata kuunda perfect design ya gari alishindwa,

Tunahitaji kubebana, ila unahitaji kuonyesha juhudi zako kwanza, lile gari la kipanya, hata yeye mwenyewe hatembelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…