Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .

Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari.

Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.

Screenshot_20210820-093159.jpg
 
Badala ya kupeleka benki, wao wanapeka majumbani kwao! Na wote hao ni lazima wawe na kadi za ccm!! Hiyo ndiyo tiketi pekee ya kufanya vitendo vya wizi, ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu nchini.
Upo sahihi kabisa
 
Bila kuwadunda watawala Heshima haitokuja.
Watawala na watawaliwa wazipige kuleta heshima
 
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .

Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari.

Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.View attachment 1899289

Nimewaza vile Mbowe, Tundu na wenzao walivyotafuna ruzuku miaka30 wakashindwa kujenga hata office

Halafu wakaanza kumlaumu hayati kaficha mara anafanya miradi mikubwa mara anatakiwa kukopa
 
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .

Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari.

Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.View attachment 1899289
Bila ccm kuondoka madarakani tutalimia meno lami
 
Waziri wa fedha unatembelea gari la mil 400; yet unajisifu kukusanya bil 23 toka kwa wananchi maskini kabisa.

Huu ndiyo usanii tunaouongelea.
 
Neno 'ubadhirifu' tulilisahau kidogo lakini naona kwa sasa limeibuka kwa kasi.
 
Back
Top Bottom